Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Aprili uku. 5
  • Ayubu Alituwekea Kielelezo Kizuri cha Utimilifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Ayubu Alituwekea Kielelezo Kizuri cha Utimilifu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Kitabu Cha Biblia Namba 18—Yobu
    “Kila Andiko, Lenye Pumzi ya Mungu, Lafaa”
  • “Sitaukana Utimilifu Wangu!”
    Igeni Imani Yao
  • Ayubu Alilitukuza Jina la Yehova
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2009
  • Mambo Makuu Katika Kitabu cha Ayubu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2006
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Aprili uku. 5

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | AYUBU 28-32

Ayubu Alituwekea Kielelezo Kizuri cha Utimilifu

Ayubu aliazimia kufuata viwango vya maadili vya Yehova

31:1

  • Alidhibiti macho yake na kumwonyesha mapenzi mke wake pekee

    Ayubu na mke wake

Ayubu alituwekea kielelezo kizuri cha jinsi ya kushughulika na wengine

31:13-15

  • Alikuwa mnyenyekevu, mwenye haki, na mwenye rehema. Aliwajali watu wote licha ya hali yao katika jamii au hali yao ya uchumi

    Ayubu akizungumza na kijana

Ayubu alikuwa mkarimu, hakuwa na ubinafsi

31:16-19

  • Alikuwa tayari kuwasaidia wenye uhitaji

    Ayubu akimpa mvulana zabibu
    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki