Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Mei uku. 7
  • Mei 30–Juni 5

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 30–Juni 5
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Mei uku. 7

Mei 30–Juni 5

ZABURI 26-33

  • Wimbo 23 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mtegemee Yehova Ili Uwe Hodari”: (Dak. 10)

    • Zb 27:1-3—Kufikiria jinsi Yehova alivyo nuru yetu kutatufanya tuwe hodari (w12 7/15 22-23 ¶3-6)

    • Zb 27:4—Kuthamini ibada ya kweli hutuimarisha (w12 7/15 24 ¶7)

    • Zb 27:10—Yehova yuko tayari kuwategemeza watumishi wake watu wengine wanapowaacha (w12 7/15 24 ¶9-10)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zb 26:6—Tunaweza kutembeaje tukizunguka madhabahu ya Yehova, kama alivyofanya Daudi? (w06 5/15 19 ¶11)

    • Zb 32:8—Kuna faida gani tunapokubali mwongozo kutoka kwa Yehova? (w09 6/1 5 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zb 32:1–33:8

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) kt—Soma andiko kwenye kifaa cha mkononi.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Mwonyeshe mtu unayempelekea magazeti kwa ukawaida jinsi ya kujifunza Biblia kwa kumwonyesha video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia? ukitumia programu ya JW Library.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) jl somo la 9—Mwonyeshe kifupi mwanafunzi jinsi anavyoweza kutumia programu ya JW Library kutayarisha mikutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 130

  • Mahitaji ya kutaniko: (Dak. 15) Au mnaweza kuzungumzia mambo tunayojifunza katika Kitabu cha Mwaka. (yb16 112-113; 135-136)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) ia sura ya 16 ¶16-29, sanduku uku. 142, mambo ya kufikiria kwenye uku. 144

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 16 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki