Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Mei uku. 7
  • Mtegemee Yehova Ili Uwe Hodari

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mtegemee Yehova Ili Uwe Hodari
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Daudi hakuogopa
    Wafundishe Watoto Wako
  • “Vita Ni vya Yehova”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Toleo la Watu wote)—2016
  • “Unifundishe Kufanya Mapenzi Yako”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • “Uwe Hodari . . . Nawe Utende”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2017
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Mei uku. 7

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZABURI 26-33

Mtegemee Yehova Ili Uwe Hodari

Kukumbuka matendo ya Yehova ya kuokoa kulimfanya Daudi awe hodari.

27:1-3

  • Yehova alimwokoa kijana Daudi kutoka kwa simba

  • Yehova alimsaidia Daudi kuua dubu ili kulinda kondoo wake

  • Yehova alimtegemeza Daudi alipomuua Goliathi

Daudi anakumbuka jinsi Yehova alivyomwokoa kutoka kwa simba, akamsaidia kuua dubu, na kumsaidia kumuua Goliathi

Ni nini kinachoweza kutusaidia kuwa hodari kama Daudi?

27:4, 7, 11

  • Sala

  • Kuhubiri

  • Kuhudhuria mikutano

  • Funzo la kibinafsi na ibada ya familia

  • Kuwatia moyo wengine

  • Kukumbuka jinsi ambavyo Yehova ametusaidia wakati uliopita

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki