Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Oktoba uku. 6
  • Oktoba 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Oktoba uku. 6

Oktoba 24-30

METHALI 17-21

  • Wimbo 76 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Fuatilia Amani Pamoja na Watu Wote”: (Dak. 10)

    • Met 19:11—Uwe mtulivu unapokasirishwa (w14 12/1 12-13)

    • Met 18:13, 17; 21:13—Hakikisha una habari kamili (w11 8/15 30 ¶11-14)

    • Met 17:9—Kwa upendo, wasamehe wengine makosa waliyofanya (w11 8/15 31 ¶17)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Met 17:5—Ni sababu gani moja inayofanya tuchague burudani zetu kwa busara? (w10 11/15 6 ¶17; w10 11/15 31 ¶15)

    • Met 20:25—Kanuni hii inawezaje kutumiwa wakati wa uchumba na ndoa? (w09 5/15 15-16 ¶12-13)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Met 18:14–19:10

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Toa mwaliko wa kuhudhuria mikutano. (inv)

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) inv—Malizia kwa kuigiza kana kwamba unataka kuanza kumwonyesha video yenye kichwa Ni Nini Hutendeka Katika Jumba la Ufalme?

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 57-58 ¶14-15—Msaidie mwanafunzi aone umuhimu wa kuvaa na kujipamba kwa njia inayofaa anapohudhuria mikutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 77

  • Kufanya Amani Huleta Baraka: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Kufanya Amani Huleta Baraka. Kisha uliza maswali yafuatayo: Ni mambo gani tunayopaswa kuepuka amani inapovurugwa? Tutapata baraka gani tukitumia kanuni ya Methali 17:9 na Mathayo 5:23, 24?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 2 ¶35-40, sanduku “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?,” na chati “Ufalme wa Mungu—Serikali Halisi” na “Watayarishwa kwa Ajili ya Kuzaliwa kwa Ufalme”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 144 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki