HAZINA ZA NENO LA MUNGU | METHALI 17-21
Fuatilia Amani Pamoja na Watu Wote
Amani miongoni mwa watu wa Yehova haiji bila jitihada. Kutoelewana kunapotokea, tunaweza kuwa na hisia kali kumwelekea aliyetukosea, hata hivyo ushauri wa Neno la Mungu una nguvu zaidi.
Wakristo waaminifu wanapokosana wao hufuatilia amani kwa . . .
kuwa watulivu
kuhakikisha wana habari kamili kabla ya kuchukua hatua
kusamehe kosa kwa upendo