Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Oktoba uku. 7
  • Oktoba 31–​Novemba 6

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 31–​Novemba 6
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Oktoba uku. 7

Oktoba 31–Novemba 6

Methali 22-26

  • Wimbo 88 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mlee Mvulana Kulingana na Njia Inayomfaa”: (Dak. 10)

    • Met 22:6; 23:24, 25—Kuwalea watoto kupatana na mashauri ya Biblia kunawasaidia wawe na maisha yenye kuridhisha, wawe watu wazima wenye furaha, na wanaotegemeka (w08 4/1 16; w07 6/1 31)

    • Met 22:15; 23:13, 14—Katika familia, “fimbo” inawakilisha aina zote za nidhamu (w97 10/15 32; it-2 818 ¶4)

    • Met 23:22—Watoto ambao ni watu wazima wanaweza kunufaika kutokana na hekima ya wazazi wao (w04 6/15 14 ¶1-3; w00 6/15 21 ¶13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Met 24:16—Methali hii inatutia moyo jinsi gani tudumu katika shindano la mbio za uzima? (w13 3/15 4-5 ¶5-8)

    • Met 24:27—Tunapaswa kuelewaje methali hii? (w09 10/15 12 ¶1)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Met 22:1-21

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Kadi ya mawasiliano ya JW.ORG—Hubiri isivyo rasmi.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Kadi ya mawasiliano ya JW.ORG—Weka msingi wa ziara ya kurudia, na umalizie kwa kuigiza kana kwamba unataka kuanza kumwonyesha video yenye kichwa Kwa Nini Ujifunze Biblia?

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 179-180 ¶18-19

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 101

  • “Je, Unatumia Vizuri Kadi za Mawasiliano za JW.ORG?”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ya mapendekezo, kisha uzungumzie mambo makuu. Watie moyo wahubiri wabebe kadi kadhaa za mawasiliano nyakati zote.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 3 ¶1-12, na Sehemu ya 1​—Kweli ya Ufalme—​Kuandaa Chakula cha Kiroho”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 146 na Sala

    Kikumbusho: Tafadhali sikilizeni muziki mara moja kabla ya kuanza kuimba.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki