Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Desemba uku. 2
  • Desemba 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Desemba uku. 2

Desemba 5-11

ISAYA 1-5

  • Wimbo 107 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Twendeni Juu Kwenye Mlima wa Yehova”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Isaya.]

    • Isa 2:2, 3—“Mlima wa nyumba ya Yehova” unawakilisha ibada safi (ip-1 38-41 ¶6-11; 44-45 ¶20-21)a

    • Isa 2:4—Waabudu wa Yehova hawajifunzi vita tena (ip-1 46-47 ¶24-25)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 1:8, 9—Ni katika njia gani binti Sayuni aliachwa “akiwa amebaki kama kibanda katika shamba la mizabibu”? (w06 12/1 8 ¶5)

    • Isa 1:18—Ni nini maana ya maneno: “Njooni, . . . tunyooshe mambo kati yetu”? (w06 12/1 9 ¶1; it-2 761 ¶3)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 5:1-13

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Uwe Tayari Kutoa Machapisho Mwezi Huu: (Dak. 15) Mazungumzo yanayotegemea “Mapendekezo kwa Ajili ya Utumishi.” Onyesha video za mapendekezo, halafu mzungumzie mambo makuu. Watie moyo wahubiri waandike utangulizi wao. Ikiwa video hizo hazipatikani, panga kuwe na onyesho.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 139

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 7) Au mnaweza kuzungumzia mambo tunayojifunza katika Kitabu cha Mwaka. (yb16 uku. 32 ¶3 hadi uku. 34 ¶1)

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Tumia Kitabu ‘Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu’ Kugusa Mioyo ya Wanafunzi”: (Dak. 8) Mazungumzo. Watie moyo wote walio na mgawo wa Funzo la Biblia kwenye sehemu ya Boresha Huduma Yako mwezi huu, watumie madokezo yanayopatikana katika kitabu Shule ya Huduma ukurasa wa 261-262.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 5 ¶1-9

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 154 na Sala

    Kikumbusho: Tafadhali sikilizeni muziki mara moja kabla ya kuanza kuimba.

a Ufupisho wa Machapisho: ip-1 = Unabii wa Isaya—Buku la Kwanza; w = Mnara wa Mlinzi Toleo la funzo; it = Insight on the Scriptures; yb = Kitabu cha Mwaka; kr = Ufalme wa Mungu Unatawala!; g = Amkeni!; lv = Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu; km = Huduma Yetu ya Ufalme; bh = Biblia Inafundisha Nini Hasa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki