Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Desemba uku. 6
  • Desemba 19-25

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 19-25
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Desemba uku. 6

Desemba 19-25

ISAYA 11-16

  • Wimbo 143 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ujuzi Kumhusu Yehova Utajaa Duniani”: (Dak. 10)

    • Isa 11:3-5—Uadilifu utaendelea milele (ip-1 160-161 ¶9-11)

    • Isa 11:6-8—Amani itakuwepo kati ya wanadamu na wanyama (w12 9/15 9-10 ¶8-9)

    • Isa 11:9—Wanadamu wote watajifunza njia za Yehova (w16.06 8 ¶9; w13 6/1 7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 11:1, 10—Yesu Kristo anawezaje kuwa ‘tawi kutoka katika kisiki cha Yese’ na wakati uleule awe “mzizi wa Yese”? (w06 12/1 9 ¶6)

    • Isa 13:17—Ni kwa njia gani Wamedi waliona fedha kuwa si kitu na hawakupendezwa na dhahabu? (w06 12/1 10 ¶10)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kutumia katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Dak. 4) Isa 13:17–14:8

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Ayu 34:10—Fundisha Kweli.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Mhu 8:9; 1Yo 5:19—Fundisha Kweli.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) lv 54 ¶9—Onyesha jinsi ya kugusa moyo wa mwanafunzi.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 24

  • “Elimu ya Mungu Inashinda Ubaguzi”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Johny na Gideon: Walikuwa Maadui, Sasa Ni Ndugu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 5 ¶18-25, na sanduku “Ufalme Ni Halisi Kadri Gani Kwako?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 151 na Sala

    Kikumbusho: Tafadhali sikilizeni muziki mara moja kabla ya kuanza kuimba.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki