Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb16 Desemba uku. 6
  • Elimu ya Mungu Inashinda Ubaguzi

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Elimu ya Mungu Inashinda Ubaguzi
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
  • Habari Zinazolingana
  • Ubaguzi Tatizo la Ulimwenguni Pote
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Ubaguzi Utakwisha Lini?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2013
  • Ubaguzi—Je, Umekuathiri?
    Amkeni!—2020
  • Mwisho wa Ubaguzi
    Amkeni!—2004
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo (2016)
mwb16 Desemba uku. 6

MAISHA YA MKRISTO

Elimu ya Mungu Inashinda Ubaguzi

Yehova hana ubaguzi. (Mdo 10:34, 35) Anawakubali watu “kutoka mataifa yote na makabila na vikundi vya watu na lugha.” (Ufu 7:9) Hivyo, hakupaswi kuwa na ubaguzi au upendeleo katika kutaniko la Kikristo. (Yak 2:1-4) Elimu ya Mungu imewasaidia watu kubadili nyutu zao, na kwa sababu hiyo tunafurahia paradiso ya kiroho. (Isa 11:6-9) Tunapojitahidi kuondoa kabisa hisia zozote za ubaguzi kutoka moyoni mwetu, tunathibitisha kwamba sisi ni waigaji wa Mungu.—Efe 5:1, 2.

Johny na Gideon wakiwakaribisha watoto kwenye Jumba la Ufalme

TAZAMA VIDEO YENYE KICHWA JOHNY NA GIDEON: WALIKUWA MAADUI, SASA NI NDUGU. KISHA UJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Kwa nini elimu kutoka kwa Mungu inazidi jitihada za wanadamu za kuondoa ubaguzi?

  • Ni nini kinachokupendeza kuhusu undugu wetu wa ulimwenguni pote?

  • Yehova anatukuzwaje tunapodumisha umoja wetu wa Kikristo?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki