Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Januari uku. 4
  • Januari 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Januari uku. 4

Januari 16-22

ISAYA 34-37

  • Wimbo 31 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Hezekia Alithawabishwa kwa Sababu ya Imani Yake”: (Dak. 10)

    • Isa 36:1, 4-10, 15, 18-20—Waashuru walimdhihaki Yehova na kuwatisha watu wake (ip-1 386-388 ¶7-14)

    • Isa 37:1, 2, 14-20—Hezekia alimtegemea Yehova (ip-1 389-391 ¶15-17)

    • Isa 37:33-38—Yehova aliwalinda watu wake (ip-1 391-394 ¶18-22)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 35:8—“Njia ya Utakatifu” ilikuwa nini, na ni nani waliostahili kutembea kwenye njia hiyo? (w08 5/15 26 ¶4; 27 ¶1)

    • Isa 36:2, 3, 22—Shebna anatuwekeaje mfano mzuri wa kukubali nidhamu? (w07 1/15 8-9 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 36:1-12

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Mt 24:3, 7, 14—Fundisha Kweli—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4)2Ti 3:1-5—Fundisha Kweli—Mwachie mwenye-nyumba kadi ya mawasiliano ya JW.ORG.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 31-32 ¶11-12—Mkaribishe mwanafunzi kwenye mkutano.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 91

  • “Ee Yehova, . . . Nimekutegemea Wewe”: (Dak. 15) Maswali na majibu. Anza kwa kuonyesha video “Ee Yehova, . . . Nimekutegemea Wewe”—Kisehemu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 7 ¶1-9

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 96 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki