Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Februari uku. 4
  • Februari 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Februari uku. 4

Februari 20-26

ISAYA 58-62

  • Wimbo 142 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kutangaza Mwaka wa Nia Njema Upande wa Yehova”: (Dak. 10)

    • Isa 61:1, 2—Yesu alitiwa mafuta ili “kutangaza mwaka wa nia njema upande wa Yehova” (ip-2 322 ¶4)

    • Isa 61:3, 4—Yehova ametupatia “miti mikubwa ya uadilifu” ili kutegemeza kazi yake (ip-2 326-327 ¶13-15)

    • Isa 61:5, 6—“Watu wa nchi nyingine” wanashirikiana na “makuhani wa Yehova” katika kampeni kubwa ya kutoa ushahidi (w12 12/15 25 ¶5-6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Isa 60:17—Ni kwa njia zipi Yehova ametimiza ahadi hii katika siku za mwisho? (w15 7/15 9-10 ¶14-17)

    • Isa 61:8, 9—“Agano linalodumu mpaka wakati usio na kipimo” ni nini, na “uzao” ni nani? (w07 1/15 11 ¶4)

    • Usomaji wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Isa 62:1-12

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g17.1 jalada

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g17.1 jalada

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 16 ¶19 —Ikiwezekana, mama ajifunze na binti yake mdogo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 47

  • Tumia Video Unapohubiri: (Dak. 6) Hotuba. Onyesha video Ufalme wa Mungu Ni Nini? Watie moyo wote watumie video wanapotoa machapisho ya mwezi wa Machi na Aprili kwenye ziara ya kwanza au kwenye ziara ya kurudia.

  • “Tumia Machapisho ya Biblia kwa Hekima”: (Dak. 9) Mazungumzo. Onyesha video Usambazaji wa Machapisho ya Biblia Nchini Kongo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 8 ¶14-18, Sanduku “Kuharakisha Kazi ya Kutafsiri Biblia” na “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 114 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki