Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Mei uku. 6
  • Mei 22-28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 22-28
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Mei uku. 6

Mei 22-28

YEREMIA 44-48

  • Wimbo 70 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Usiendelee ‘Kujitafutia Makuu’”: (Dak. 10)

    • Yer 45:2, 3​—Mawazo yasiyofaa ya Baruku yalifanya ahuzunike (jr 104-105 ¶4-6)

    • Yer 45:4, 5a—Yehova alimrekebisha Baruku kwa fadhili (jr 103 ¶2)

    • Yer 45:5b—Baruku aliokoa uhai wake kwa kukazia fikira mambo muhimu zaidi (w16.07 8 ¶6)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 48:13—Kwa nini Wamoabu wangeona “aibu kwa sababu ya Kemoshi”? (it-1 430)

    • Yer 48:42​—Kwa nini imani yetu inaimarishwa na tangazo la Yehova la hukumu dhidi ya Moabu? (it-2 422 ¶2)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo umepata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 47:1-7

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak.2) hf—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak.4) hf—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak.6) lv 199 ¶9-10 —Mwonyeshe kifupi mwanafunzi jinsi ya kufanya utafiti kuhusu jaribu fulani hususa analokabili.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 150

  • Vijana—Msijitafutie Makuu: (Dak. 15) Onyesha na mzungumzie video Vijana Huuliza​—Nitayatumiaje Maisha Yangu?​—Kukumbuka Yaliyopita.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr “Sehemu ya 4—Ushindi wa Ufalme​—Kutetea na Kuithibitisha Kisheria Habari Njema,” sura ya 13 ¶1-10

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 17 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki