Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Julai uku. 6
  • Julai 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Julai uku. 6

Julai 24-30

EZEKIELI 21-23

  • Wimbo 99 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ufalme Ni wa Yule Aliye na Haki ya Kisheria”: (Dak. 10)

    • Eze 21:25​—Yule “mkuu mwovu wa Israeli” alikuwa Mfalme Sedekia (w07 7/1 13 ¶11)

    • Eze 21:26​—Nasaba ya wafalme wa ukoo wa Daudi waliotawala Yerusalemu ingekoma (w11 8/15 9 ¶6)

    • Eze 21:27​—Yule aliye na “haki ya kisheria” ni Yesu Kristo (w14 10/15 10 ¶14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Eze 21:3​—Ni nini ule “upanga” ambao Yehova anauchomoa kutoka katika ala yake? (w07 7/1 14 ¶1)

    • Eze 23:49​—Ni kosa gani linalokaziwa katika sura ya 23, na tunajifunza nini? (w07 7/1 14 ¶6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Eze 21:1-13

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) fg​—Toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia kisha uizungumzie (lakini usicheze video hiyo).

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) bh​—Unapozungumza na mtu anayechukua magazeti kwa ukawaida toa utangulizi wa video Ni Nini Hutendeka Kwenye Funzo la Biblia kisha uizungumzie (lakini usicheze video hiyo).

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 215 ¶3–216 ¶1

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 93

  • “Onyesha Adabu Mlangoni”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mwangalizi wa utumishi. Anza kwa kucheza video inayotoa mashauri ya jinsi tunavyopaswa kuwa na adabu mlangoni.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 15 ¶18-28

  • Pitia Mambo Makuu Mliyojifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 29 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki