Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Septemba uku. 6
  • Septemba 25–Oktoba 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 25–Oktoba 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Septemba uku. 6

Septemba 25–Oktoba 1

DANIELI 4-6

  • Wimbo 47 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Je, Unamtumikia Yehova Daima?”: (Dak. 10)

    • Da 6:7-10—Danieli alihatarisha uhai wake ili amtumikie Yehova daima (w10 11/15 6 ¶16; w06 11/1 24 ¶12)

    • Da 6:16, 20—Mfalme Dario alitambua kwamba Danieli alikuwa na uhusiano wa karibu na Yehova (w03 9/15 15 ¶2)

    • Da 6:22, 23—Yehova alimbariki Danieli kwa kudumisha ratiba yake ya ibada (w10 2/15 18 ¶15)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Da 4:10, 11, 20-22—Ule mti mrefu sana katika ndoto ya Nebukadneza uliwakilisha nini? (w07 9/1 18 ¶5)

    • Da 5:17, 29—Kwa nini mwanzoni Danieli alikataa zawadi za Mfalme Belshaza lakini baadaye akazikubali? (w88 10/1 30 ¶3-5; dp 109 ¶22)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Da 4:29-37

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) inv

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) inv—Mwaliko wa kuhudhuria mikutano uliachwa katika ziara iliyotangulia. Onyesha jinsi ya kufanya ziara ya kurudia.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 120 ¶16—Mtie moyo mwanafunzi adumishe utimilifu licha ya kupingwa na mtu wa familia.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 79

  • “Wazoeze Kumtumikia Yehova Daima”: (Dak. 15) Mazungumzo. Baadaye, onyesha na mzungumzie video inayoonyesha mhubiri mwenye uzoefu akihubiri pamoja na mhubiri mpya.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 18 ¶9-20, sanduku “Michango Yetu Hutumiwaje?,” sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 109 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki