Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Oktoba uku. 4
  • Oktoba 9-15

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Oktoba 9-15
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Oktoba uku. 4

Oktoba 9-​15

DANIELI 10-​12

  • Wimbo 63 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Alitabiri Wakati Ujao wa Wafalme”: (Dak. 10)

    • Da 11:2​—Wafalme wanne walisimama kwenye Milki ya Uajemi (dp 212-​213 ¶5-6)

    • Da 11:3​—Aleksanda Mkuu akatokea (dp 213 ¶8)

    • Da 11:4​—Ufalme wa Aleksanda uligawanywa katika sehemu nne (dp 214 ¶11)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Da 12:3​—“Wale walio na ufahamu” ni nani, na ni lini “watang’aa kama mwangaza wa anga”? (w13 7/15 13 ¶16, maelezo ya ziada)

    • Da 12:13​—Ni katika njia gani Danieli ‘atasimama’? (dp 315 ¶18)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Da 11:28-39

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g17.5 jalada​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g17.5 jalada​—Gazeti liliachwa katika ziara iliyotangulia. Endeleza mazungumzo na uweke msingi wa ziara inayofuata.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w16.11 5-6 ¶7-8​—Kichwa: Ni Katika Njia Gani Tunaweza Kuiga Mfano wa Yehova wa Kuwatia Moyo Wengine?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 94

  • Kuimarishwa na Unabii wa Biblia: (Dak. 15) Onyesha video Kuimarishwa na “Neno la Kinabii.”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 19 ¶8-18, sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 91 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki