Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Novemba uku. 4
  • Novemba 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Novemba uku. 4

Novemba 13-19

Obadia 1–Yona 4

  • Wimbo 102 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jifunze Kutokana na Makosa Yako”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Obadia.]

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Yona.]

    • Yon 3:1-3—Yona alijifunza kutokana na makosa yake (ia 114 ¶22-23)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Oba 10—Edomu ‘lilikatiliwa mbali mpaka wakati usio na kipimo’ jinsi gani? (w07 11/1 13 ¶5)

    • Oba 12—Tunajifunza nini kutokana na jinsi Mungu alivyohukumu Edomu? (jd 112 ¶4-5)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yon 3:1-10

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) wp17.6 jalada​—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) wp17.6​—Gazeti liliachwa katika ziara ya kwanza. Onyesha jinsi ya kufanya ziara ya kurudia, na umwonyeshe chapisho moja tunalotumia kuongoza mafunzo ya Biblia.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) ld 12-13​—Chagua picha mtakazozungumzia.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 98

  • “Mambo Tunayojifunza Katika Kitabu cha Yona”: (Dak. 15) Zungumzia makala hiyo baada ya kuonyesha video yenye kichwa Ibada ya Familia: Yona—Kujifunza Kutokana na Rehema za Yehova.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 21 ¶8-14

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 150 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki