Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Novemba uku. 5
  • Novemba 20-26

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Novemba 20-26
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Novemba uku. 5

Novemba 20-26

MIKA 1-7

  • Wimbo 31 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yehova Anataka Nini Kutoka Kwetu?”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Mika.]

    • Mik 6:6, 7—Dhabihu zetu hazina thamani machoni pa Yehova ikiwa tutakosa kuwatendea wanadamu wenzetu kwa njia inayofaa (w08 5/15 6 ¶20)

    • Mik 6:8—Tunaweza kutimiza matakwa ya Yehova (w12 11/1 22 ¶4-7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mik 2:12—Unabii huu ulitimizwaje? (w07 11/1 15 ¶6)

    • Mik 7:7—Kwa nini tunapaswa “kuonyesha mtazamo wa kumngojea” Yehova? (w03 8/15 24 ¶20)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Mik 4:1-10

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Zb 83:18—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Kut 3:14—Fundisha Kweli. Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) bh 123-124 ¶20-21.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 28

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 6)

  • Yehova Anataka Tuwe Wakarimu (Met. 3:27): (Dak. 9) Onyesha video hiyo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 21 ¶15-20, chati “Mambo Yatakayotokea Hivi Karibuni,” sanduku la pitio “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 149 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki