Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Desemba uku. 3
  • Desemba 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Desemba uku. 3

Desemba 11-17

ZEKARIA 1-8

  • Wimbo 26 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Shika Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye Myahudi”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video ya Utangulizi wa Zekaria.]

    • Zek 8:20-22—Watu wa lugha zote za mataifa wanatafuta kibali cha Yehova (w14 11/15 27 ¶14)

    • Zek 8:23—Kwa hiari wale walio na tumaini la kuishi duniani wanaenda pamoja na watiwa-mafuta na kuwaunga mkono (w16.01 23 ¶4; w09 2/15 27 ¶14)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Zek 5:6-11—Tuna jukumu gani leo kuhusu uovu? (w17.10 25 ¶18)

    • Zek 6:1—Milima miwili ya shaba inawakilisha nini? (w17.10 27-28 ¶7-8)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Zek 8:14-23

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) g17.6 jalada—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) g17.6—Gazeti liliachwa katika ziara ya kwanza. Onyesha jinsi ya kufanya ziara ya kurudia na uweke msingi wa ziara inayofuata.

  • Funzo la Biblia: (Isizidi dak. 6) fg somo la 5  ¶1-2.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 70

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kumfikia Kila Mtu Katika Eneo Letu”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Kuhubiri Katika “Sehemu ya Mbali Zaidi ya Dunia.”

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) kr sura ya 22 ¶17-24, sanduku “Ufalme Ni Halisi Kwako Kadiri Gani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 139 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki