Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb17 Desemba uku. 3
  • “Shika Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye Myahudi”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Shika Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye Myahudi”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Habari Zinazolingana
  • Tutaenda Pamoja Nanyi
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2020
  • “Tutakwenda Pamoja Nanyi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • “Wana Wenu na Binti Zenu Watatoa Unabii”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
  • Wamehesabiwa Kuwa Wanastahili Kuongozwa Kwenye Chemchemi za Maji ya Uzima
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2008
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2017
mwb17 Desemba uku. 3
Mtu ameshika upindo wa nguo ya Myahudi

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | ZEKARIA 1-8

“Shika Upindo wa Nguo ya Mtu Aliye Myahudi”

8:20-23

Watu kumi kutoka katika lugha zote za mataifa watashika kwa nguvu joho la mtu aliye Myahudi, wakisema: “Tutakwenda pamoja nanyi.” Katika siku hizi za mwisho, watu wa mataifa yote wanamiminika kumwabudu Yehova pamoja na Wakristo watiwa-mafuta

Kondoo wengine wanawategemeza watiwa-mafuta katika njia zipi?

  • Mashahidi wawili wa Yehova wakiwa katika huduma

    Wanashiriki kwa moyo wote katika kazi ya kuhubiri

  • Kutumbukiza pesa kwenye sanduku la mchango

    Wanategemeza kwa moyo wote kazi hiyo kwa kutoa michango

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki