Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Januari uku. 3
  • Januari 8-14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Januari 8-14
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Januari uku. 3

Januari 8-14

MATHAYO 4-5

  • Wimbo 82 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mambo Tunayojifunza Kutokana na Mahubiri ya Yesu ya Mlimani”: (Dak. 10)

    • Mt 5:3—Furaha hutokana na kutambua uhitaji wetu wa kiroho (“Wenye furaha,” “wale wanaotambua uhitaji wao wa kiroho” habari za utafiti Mt 5:3, nwtsty)

    • Mt 5:7—Furaha hutokana na kuwa mwenye rehema na huruma (“wenye rehema” habari za utafiti Mt 5:7, nwtsty)

    • Mt 5:9—Furaha hutokana na kufanya amani (“wanaofanya amani” habari za utafiti Mt 5:9, nwtsty; w07 12/1 17

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 4:9—Shetani alijaribu kumshawishi Yesu afanye nini? (“kunifanyia tendo la ibada” habari za utafiti Mt 4:9, nwtsty)

    • Mt 4:23—Ni mambo gani mawili muhimu ambayo Yesu alizoea kufanya? (“kufundisha . . . kuhubiri” habari za utafiti Mt 4:23, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 5:31-48

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tazama Mapendekezo ya Kuanzisha Mazungumzo

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w16.03 31-32​—Kichwa: Je, Shetani Alimchukua Yesu Kihalisi na Kumpeleka Hekaluni Alipokuwa Akimshawishi?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 130

  • Wenye Furaha Ni Wale Ambao Wameteswa kwa Ajili ya Uadilifu: (Dak. 9) Onyesha video Familia ya Namgung: Wafungwa kwa Sababu ya Imani Yao, kisha mzungumzie mambo mnayojifunza.

  • “Kwanza Fanya Amani na Ndugu Yako—Jinsi Gani?”: (Dak. 6) Mazungumzo. Zungumzieni kwa nini kwenye kila orodha jambo la mwisho ndilo sahihi.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 3

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 141 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki