Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Januari uku. 4
  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Sala ya Bwana Inachomaanisha Kwako
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • Yehova Hutuandalia Mahitaji Yetu ya Kila Siku
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2004
  • “Tufundishe Sisi Kusali”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1990
  • Jinsi ya Kusali—Je, Kukariri Sala ya Bwana Ndiyo Njia Bora Zaidi ya Kusali?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Januari uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 6-7

Endeleeni Kuutafuta Kwanza Ufalme

Katika sala ya kielelezo, Yesu alionyesha kwamba masuala yanayohusu kusudi la Yehova na Ufalme wake ndiyo mambo tunayopaswa kutanguliza.

6:9-13

  • Yesu akiwa kwenye kiti chake cha ufalme mbinguni

    Jina la Mungu

    Ufalme wa Mungu

    Mapenzi ya Mungu

  • Mkate

    Mkate wa kila siku

    Msamaha wa dhambi

    Kukombolewa kutokana na vishawishi

Mambo fulani yanayohusu Ufalme ambayo ninaweza kusali kuyahusu:

  • Kuendelezwa kwa kazi ya kuhubiri

  • Roho takatifu ya Mungu iwategemeze wanaoteswa

  • Baraka za Yehova kuhusu mradi hususa wa ujenzi au kampeni za kuhubiri

  • Hekima na nguvu za Mungu ziwaelekeze wale wanaoongoza

  • Mambo mengine

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki