Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Januari uku. 5
  • Acheni Kuhangaika

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Acheni Kuhangaika
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Je, Unakumbuka?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2016
  • “‘Ridhika na Vitu vya Sasa’”
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Unaweza Kumtumikia Yehova Licha ya Malezi Yasiyofaa
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Fuatia Upendo Mshikamanifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Januari uku. 5

MAISHA YA MKRISTO

Acheni Kuhangaika

Ndege; maua

Katika Mahubiri yake ya Mlimani, Yesu alisema hivi: “Acheni kuhangaikia uhai wenu.” (Mt 6:25) Ingawa ni jambo la kawaida kwa wanadamu wasio wakamilifu wanaoishi katika ulimwengu wa Shetani kuhangaika mara kwa mara, Yesu alikuwa akiwafundisha wafuasi wake waepuke kuhangaika kupita kiasi. (Zb 13:2) Kwa nini? Kwa sababu kuhangaika kupita kiasi, hata kuhusu mahitaji ya kila siku, kunaweza kutukengeusha na kufanya iwe vigumu zaidi kwetu kutafuta Ufalme kwanza. (Mt 6:33) Maneno ya Yesu yanayofuata yatatusaidia kuacha kuhangaika isivyo lazima.

  • Mt 6:26—Tunaweza kujifunza nini kwa kuwatazama ndege? (w16.07 9-10 ¶11-13)

  • Mt 6:27—Kwa nini kuhangaika isivyo lazima ni kupoteza wakati na nguvu? (w05 11/1 22 ¶5)

  • Mt 6:28-30—Tunaweza kujifunza nini kutokana na mayungiyungi ya shambani? (w16.07 10-11 ¶15-16)

  • Mt 6:31, 32—Ni katika njia zipi Wakristo ni tofauti na mataifa mengine? (w16.07 11 ¶17)

Ninataka kuacha kuhangaika kuhusu nini?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki