Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Novemba uku. 7
  • “‘Ridhika na Vitu vya Sasa’”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “‘Ridhika na Vitu vya Sasa’”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Acheni Kuhangaika
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Je, Pesa Ndio Chanzo cha Uovu Wote?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
  • Maoni ya Biblia Kuhusu Pesa na Kazi
    Furahia Maisha Milele!—Masomo ya Kujifunza Biblia
  • Je, ‘Umejifunza Siri’ ya Kuridhika?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Novemba uku. 7

MAISHA YA MKRISTO

“‘Ridhika na Vitu vya Sasa’”

Ikiwa sisi ni maskini sasa hivi, huenda tukashawishiwa kufanya jambo ambalo linaweza kuharibu hali yetu ya kiroho. Kwa mfano, huenda tukapata nafasi ya kujipatia pesa nyingi lakini nafasi hiyo ikafanya iwe vigumu kwetu kumtumikia Yehova. Kutafakari andiko la Waebrania 13:5 kutatusaidia.

“Njia yenu ya maisha iwe bila upendo wa pesa”

  • Sali kisha ufikirie kwa makini pesa ni muhimu kadiri gani kwako, na ufikirie mfano unaowawekea watoto wako.—g 9/15 6.

“Huku mkiridhika na vitu mlivyo navyo”

  • Badili maoni yako kuhusu kile unachohitaji hasa. —w16.07 7 ¶1-2.

“Sitakuacha wala kukutupa kamwe”

  • Amini kwamba Yehova atakusaidia kupata mahitaji ya lazima maishani ikiwa utatanguliza Ufalme.—w14 4/15 21 ¶17.

Picha: Picha kutoka kwenye video “Jinsi Ndugu Zetu Wanavyofurahia Amani Licha ya Matatizo ya Kiuchumi.” 1. Miguel akikanda unga akiwa nje kando ya jiko la kuokea. 2. Anapiga nguo pasi. 3. Anajitazama kwenye kioo na kutabasamu anapojiandaa kwenda kazini kwenye duka la vifaa vya ujenzi.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA JINSI NDUGU ZETU WANAVYOFURAHIA AMANI LICHA YA MATATIZO YA KIUCHUMI, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

Umejifunza nini kutokana na simulizi la Miguel Novoa?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki