Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 8
  • Unaweza Kumtumikia Yehova Licha ya Malezi Yasiyofaa

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Unaweza Kumtumikia Yehova Licha ya Malezi Yasiyofaa
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Fuatia Upendo Mshikamanifu
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Ametupa Uhuru wa Kuchagua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2010
  • “Aliendelea Kushikamana na Yehova”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Mfano wa Kuigwa—Hezekia
    Maswali Ambayo Vijana Huuliza—Majibu Yafanyayo Kazi, Buku la 2
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 8

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Unaweza Kumtumikia Yehova Licha ya Malezi Yasiyofaa

Mfalme Ahazi aliyekuwa baba ya Hezekia alitenda mambo maovu sana (2Nya 28:1; w16.02 14 ¶8)

Hezekia alichagua kumtumikia Yehova licha ya mfano mbaya wa baba yake (2Nya 29:1-3; w16.02 14 ¶9-11)

Hezekia aliwatia moyo wengine wasiruhusu ukosefu wa uaminifu wa baba zao uwazuie kumtumikia Yehova (2Nya 29:4-6)

Picha: 1. Ndugu kijana anasoma chapisho huku washiriki wa familia ambao si Mashahidi wakipamba nyumba kwa ajili ya sherehe. 2. Ndugu huyohuyo anatoa maelezo kwenye mkutano kutanikoni.

JIULIZE, ‘Ninaweza kuwatiaje moyo vijana ambao wazazi wao hawamtumikii Yehova?’

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki