Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 6
  • Fuatia Upendo Mshikamanifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Fuatia Upendo Mshikamanifu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Endeleeni Kuonyeshana Upendo Mshikamanifu
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • “Uendako Nitaenda”
    Igeni Imani Yao
  • “Uendako Nitaenda”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2012
  • Ruthu na Naomi
    Masomo Unayoweza Kujifunza Katika Biblia
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 6

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

Fuatia Upendo Mshikamanifu

[Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Ruthu.]

Naomi aliwasihi Orpa na Ruthu warudi Moabu (Ru 1:8-13; w16.02 14 ¶5)

Ruthu alikataa kumwacha Naomi na Yehova (Ru 1:16, 17; w16.02 14 ¶6)

Picha: 1. Mama na binti yake mdogo wakizungumza na wenzi wa ndoa kupitia video iliyounganishwa kwenye mtandao. 2. Wenzi hao wa ndoa wakiwaletea chakula mama na binti yake.

Upendo mshikamanifu ni upendo unaochochewa na uwajibikaji, utimilifu, ushikamanifu, na kufungamana kwa dhati. Yehova huwaonyesha upendo mshikamanifu watumishi wake waaminifu. (Zb 63:3) Sisi pia tunapaswa kuwaonyesha wengine upendo mshikamanifu.​—Met 21:21.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki