Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb22 Januari uku. 7
  • Uwe na Uhakika Yehova Atakuonyesha Upendo Mshikamanifu

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Uwe na Uhakika Yehova Atakuonyesha Upendo Mshikamanifu
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Mshikamanifu wa Yehova Unamaanisha Nini Kwako?
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2021
  • Kutoa Msaada Katika 2021—Hatuwaachi Ndugu na Dada Zetu
    Jinsi Michango Yako Inavyotumiwa
  • Kutoa Msaada kwa Walioathiriwa na Misiba
    Jinsi Michango Yako Inavyotumiwa
  • Biblia Inasema Nini Kuhusu Misiba ya Asili?
    Maswali ya Biblia Yajibiwa
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2022
mwb22 Januari uku. 7
Ndugu na dada wakiwa wamesimama mbele ya Jumba la Ufalme wakiwa na misaada.

MAISHA YA MKRISTO

Uwe na Uhakika Yehova Atakuonyesha Upendo Mshikamanifu

Yehova anakuona kuwa mwenye thamani. (Isa 43:4) Amekuvuta kwake na kukuingiza katika tengenezo lake. Kwa sababu ya kujiweka wakfu na kubatizwa, wewe ni mali ya Yehova. Atakutunza ukiwa mali yake ya pekee, hata hali zinapokuwa ngumu. Atakuonyesha upendo mshikamanifu kupitia tengenezo lake.—Zb 25:10.

Tunaweza kuimarisha uthamini wetu kwa upendo mshikamanifu wa Yehova kwa kuchunguza jinsi tengenezo lake limetenda kulipokuwa na misiba ya asili katika nyakati za karibuni.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA RIPOTI YA HALMASHAURI YA WARATIBU YA 2019, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Picha kutoka kwenye video “Ripoti ya Halmashauri ya Waratibu ya 2019.” Ndugu kutoka kwenye Halmashauri ya Kutoa Msaada akizungumza na ndugu na dada walioathiriwa na msiba wa asili.

    Halmashauri ya Waratibu imetayarishaje ofisi za tawi ulimwenguni pote kutenda kunapokuwa na misiba ya asili?

  • Picha kutoka kwenye video “Ripoti ya Halmashauri ya Waratibu ya 2019.” Ndugu wakijenga upya nyumba iliyoharibiwa na msiba wa asili nchini Indonesia.

    Tengenezo la Yehova liliandaa mwongozo na kutoa msaada kwa njia gani nchini Indonesia na Nigeria?

  • Picha kutoka kwenye video “Ripoti ya Halmashauri ya Waratibu ya 2019.” Mhudumu barani Afrika akitumia kifaa cha kumchunguza mgonjwa.

    Wewe umependezwa na nini kuhusu jinsi tengenezo lilivyotenda kushughulikia janga la COVID-19?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki