Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb23 Mei uku. 9
  • “Yehova Ni ‘Baba wa Mayatima’”

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • “Yehova Ni ‘Baba wa Mayatima’”
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Habari Zinazolingana
  • Maamuzi Yanayoonyesha Unamtegemea Yehova
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • Tumia Kanuni za Biblia Kuwasaidia Watoto Wako Wafanikiwe
    Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
  • “Chagueni . . . Yule Mtakayemtumikia”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
  • Uwe Mwenye Kiasi Inapohusu Mambo Usiyoyajua
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova (Funzo)—2025
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2023
mwb23 Mei uku. 9
Ndugu kijana aliyeonyeshwa kwenye makala ya “Unaweza Kumtumikia Yehova Licha ya Malezi Yasiyofaa” anazungumza na ndugu mkomavu wanapokuwa pamoja kwenye huduma.

MAISHA YA MKRISTO

“Yehova Ni ‘Baba wa Mayatima’”

Kila mwaka, vijana wengi huchagua kuwa rafiki za Yehova. (Zb 110:3) Yehova anamjali sana kila mmoja wenu. Anaelewa changamoto ambazo unakabili na anaahidi kukusaidia unapomtumikia. Ikiwa familia yenu ni ya mzazi mmoja, kumbuka kwamba Yehova ni “baba wa mayatima.” (Zb 68:5) Ukikubali kuzoezwa na Yehova, unaweza kufaulu hata kuwe na hali gani nyumbani.—1Pe 5:10.

Picha kutoka kwenye video “Wapiganaji wa Imani Waliofanikiwa—Wanaolelewa na Mzazi Mmoja.” Tammy Ludlow.

TAZAMENI VIDEO YENYE KICHWA WAPIGANAJI WA IMANI WALIOFANIKIWA—WANAOLELEWA NA MZAZI MMOJA, KISHA MJIBU MASWALI YAFUATAYO:

  • Umejifunza nini kutokana na mifano ya Tammy, Charles, na Jimmy?

  • Vijana wanaolelewa na mzazi mmoja wanapata uhakikisho gani kwenye Zaburi 27:10?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki