Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Februari uku. 2
  • Februari 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Februari 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Februari uku. 2

Februari 5-11

MATHAYO 12-13

  • Wimbo 27 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Mfano wa Ngano na Magugu”: (Dak. 10)

    • Mt 13:24-26—Mtu alipanda mbegu nzuri katika shamba lake, na adui yake akapanda magugu kwenye shamba hilohilo (w13 7/15 9-10 ¶2-3a)

    • Mt 13:27-29—Ngano na magugu yalikua pamoja mpaka wakati wa mavuno (w13 7/15 10 ¶4)

    • Mt 13:30—Wakati wa mavuno, wavunaji walikusanya magugu kwanza, kisha wakakusanya ngano (w13 7/15 12 ¶10-12)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 12:20—Tunaweza kuigaje huruma ya Yesu? (“utambi unaofifia” habari za utafiti Mt 12:20, nwtsty)

    • Mt 13:25—Je, ni kweli kwamba zamani mtu angeweza kupanda magugu katika shamba la mtu mwingine? (w16.10 32)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 12:1-21

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 22-23 ¶10-12

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 68

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • “Mifano Kuhusu Ufalme na Jinsi Inavyotuhusu”: (Dak. 10) Mazungumzo. Fikiria jinsi mifano hii inavyopaswa kutuchochea kushiriki katika huduma.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 7

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 10 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo; nwtsty = Toleo la Funzo la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki