Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Machi uku. 2
  • Machi 5-11

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 5-11
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Machi uku. 2

Machi 5-11

MATHAYO 20-21

  • Wimbo 76 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yeyote Anayetaka Kuwa Mkubwa Kati Yenu Lazima Awe Mhudumu Wenu”: (Dak. 10)

    • Mt 20:3—Waandishi na Mafarisayo wenye kiburi walipenda kutambuliwa na kusalimiwa na watu “sokoni” (“Sokoni” picha Mt 20:3, nwtstya)

    • Mt 20:20, 21—Mitume wawili waliomba vyeo vyenye utukufu na mamlaka (“mama ya wana wa Zebedayo,” “mmoja upande wako wa kuume na mwingine upande wako wa kushoto” habari za utafiti Mt 20:20, 21, nwtsty)

    • Mt 20:25-28—Yesu aliwaeleza kwamba wafuasi wake wanapaswa kuwa wahudumu wanyenyekevu (“mhudumu,” “si kuhudumiwa, bali kuhudumu” habari za utafiti Mt 20:26, 28, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 21:9—Umati ulipopaaza sauti: “Tunaomba umwokoe, Mwana wa Daudi!” ulimaanisha nini? (“Tunaomba umwokoe,” “Mwana wa Daudi” habari za utafiti Mt 21:9, nwtsty)

    • Mt 21:18, 19—Kwa nini Yesu aliufanya mtini unyauke? (jy 244 ¶4-6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 20:1-19

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) lv 36-37 ¶3-4

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 99

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 10) Onyesha video ya Machi ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 11

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 53 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: nwtsty = Toleo la Funzo la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; lv = Jitunzeni Katika Upendo wa Mungu; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; it = Insight On the Scriptures; w = Mnara wa Mlinzi—Toleo la Funzo

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki