Machi Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo, Machi 2018 Mapendekezo ya Kuanzisha Mazungumzo Machi 5-11 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 20-21 “Yeyote Anayetaka Kuwa Mkubwa Kati Yenu Lazima Awe Mhudumu Wenu” Machi 12-18 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 22-23 Tii Zile Amri Mbili Kuu Zaidi MAISHA YA MKRISTO Jinsi ya Kusitawisha Upendo kwa Mungu na Jirani Machi 19-25 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 24 Endelea Kuwa Macho Kiroho Katika Siku za Mwisho MAISHA YA MKRISTO Tuko Karibu Sana na Mwisho wa Mfumo Huu wa Mambo Machi 26–Aprili 1 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MATHAYO 25 “Endeleeni Kukesha” MAISHA YA MKRISTO Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kuwafundisha Wanafunzi Wetu Kujitayarisha