Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Machi uku. 6
  • Machi 26–Aprili 1

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 26–Aprili 1
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Machi uku. 6

Machi 26–Aprili 1

MATHAYO 25

  • Wimbo 143 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Endeleeni Kukesha”: (Dak. 10)

    • Mt 25:1-6—Mabikira watano wenye busara na watano wapumbavu walienda kumpokea bwana harusi

    • Mt 25:7-10—Wale mabikira wapumbavu hawakuwepo bwana harusi alipokuja

    • Mt 25:11, 12—Wale mabikira wenye busara ndio tu walioruhusiwa kuingia kwenye karamu ya ndoa

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mt 25:31-33—Eleza mfano wa kondoo na mbuzi. (w15 3/15 27 ¶7)

    • Mt 25:40—Tunaweza kuwaonyeshaje ndugu za Kristo urafiki? (w09 10/15 16 ¶16-18)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mt 25:1-23

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwalike kwenye Ukumbusho.

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe, na utoe chapisho la kujifunzia.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w15 3/15 27 ¶7-10—Kichwa: Mfano wa Kondoo na Mbuzi Unakaziaje Umuhimu wa Kazi ya Kuhubiri?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 85

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kufundisha Wanafunzi Wetu Kutayarisha”: (Dak. 10) Mazungumzo. Baadaye, onyesha na mzungumzie video inayomwonyesha mhubiri akimfundisha mwanafunzi wa Biblia jinsi ya kujitayarisha kwa ajili ya funzo. Waombe wasikilizaji wasimulie njia nyingine ambazo wamefaulu kuwasaidia wanafunzi wao kujitayarisha kwa ajili ya funzo lao la Biblia.

  • Karibisha Wageni: (Dak. 5) Hotuba inayotegemea makala kwenye Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha la Machi 2016. Simulia mambo fulani yaliyoonwa wakati wa majira ya Ukumbusho ya 2017. Toa vikumbusho vinavyofaa kuhusu kuegesha magari, kuingia na kutoka kwenye majengo, na mambo mengine kama hayo kwa ajili ya Ukumbusho utakaofanywa Machi 31.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 14

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 79 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki