Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Aprili uku. 4
  • Aprili 16-22

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Aprili 16-22
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Aprili uku. 4

Aprili 16-22

MARKO 1-2

  • Wimbo 130 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Umesamehewa Dhambi Zako”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video Utangulizi wa Marko.]

    • Mk 2:3-5—Kwa huruma, Yesu alisamehe dhambi za mtu aliyepooza (jy 67 ¶3-5)

    • Mk 2:6-12—Yesu alithibitisha kwamba ana mamlaka ya kusamehe dhambi kwa kumponya mtu aliyepooza (“Ni jambo gani rahisi zaidi” habari za utafiti Mk 2:9, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mk 1:11—Maneno ambayo Yehova alimwambia Yesu yanamaanisha nini? (“Sauti ikasikika kutoka mbinguni,” “Wewe ni Mwanangu,” “nimekukubali” habari za utafiti Mk 1:11, nwtsty)

    • Mk 2:27, 28—Kwa nini Yesu alijiita “Bwana wa Sabato”? (“Bwana wa Sabato” habari za utafiti Mk 2:28, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mk 1:1-15

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Onyesha jinsi ya kushughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 44

  • “Sikuja Kuwaita Waadilifu, Bali Watenda Dhambi”: (Dak. 7) Mazungumzo. Onyesha video Nilitoka Gerezani Nikapata Maisha Bora Kabisa. Kisha uulize maswali yafuatayo: Donald alipataje furaha ya kweli maishani? Tunapohubiri, tunaweza kufanya nini ili kuiga jinsi Yesu alivyowatendea watu bila ubaguzi?—Mk 2:17.

  • Yehova Husamehe “kwa Njia Kubwa”: (Dak. 8) Mazungumzo. Onyesha video Yehova, Nitakutanguliza. Kisha uulize maswali yafuatayo: Ni jinsi gani na kwa nini Anneliese alimrudia Yehova? (Isa 55:6, 7) Unaweza kutumiaje mfano wake kuwasaidia wale ambao hatua kwa hatua wamesonga mbali kutoka kwa Yehova?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 17

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 86 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki