Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 2
  • Mei 7-13

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 7-13
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 2

Mei 7-13

MARKO 7-8

  • Wimbo 13 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Beba Mti Wako wa Mateso na Uendelee Kunifuata”: (Dak. 10)

    • Mk 8:34—Tunapaswa kujikana wenyewe ili kumfuata Kristo (“lazima ajikane mwenyewe” habari za utafiti Mk 8:34 nwtsty; w92 8/1 17 ¶14)a

    • Mk 8:35-37—Yesu aliuliza maswali mawili ambayo yanatuchochea kuchunguza mambo tunayopaswa kutanguliza maishani (w08 10/15 25-26 ¶3-4)

    • Mk 8:38—Tunahitaji ujasiri ili kumfuata Kristo (jy 143 ¶4)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mk 7:5-8—Kwa nini Mafarisayo waliona kunawa mikono kuwa jambo zito? (w16.08 30 ¶1-4)

    • Mk 7:32-35—Tunajifunza nini kutokana na jinsi Yesu alivyomjali kiziwi huyo? (w00 2/15 17-18 ¶9-11)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mk 7:1-15

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) bhs 165-166 ¶6-7

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 51

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 5)

  • “Watayarishe Watoto Wako Wamfuate Kristo”: (Dak. 10) Mazungumzo. Tafadhali usisome mafungu ya kitabu Tengenezo wakati wa sehemu hii.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 19 ¶10-16, sanduku “Wasamaria Walikuwa Nani?”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 60 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: nwtsty = Toleo la Funzo la Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; w = Mnara wa Mlinzi; bhs = Biblia Inatufundisha Nini?; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima; cl = Mkaribie Yehova; ia = Igeni Imani Yao; it = Insight On The Scriptures.

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki