Mei Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo, Mei 2018 Mapendekezo ya Kuanzisha Mazungumzo Mei 7-13 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 7-8 Beba Mti Wako wa Mateso na Uendelee Kunifuata MAISHA YA MKRISTO Wasaidie Watoto Wako Wamfuate Kristo Mei 14-20 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 9-10 Maono Yenye Kuimarisha Imani MAISHA YA MRISTO “Kile Ambacho Mungu Ameunganisha . . . ” Mei 21-27 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 11-12 Ametumbukiza Zaidi ya Wote Mei 28–Juni 3 HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 13-14 Epuka Mtego wa Kuwaogopa Wanadamu MAISHA YA MKRISTO Yehova Atakusaidia Uwe Jasiri