Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 5
  • Mei 21-27

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 21-27
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 5

Mei 21-27

MARKO 11-12

  • Wimbo 34 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Ametumbukiza Zaidi ya Wote”: (Dak. 10)

    • Mk 12:41, 42—Yesu alimwona mjane maskini hekaluni akitumbukiza sarafu mbili ndogo zenye thamani ndogo sana (“masanduku ya hazina,” “sarafu mbili ndogo,” “zenye thamani ndogo sana” habari za utafiti Mk 12:41, 42, nwtsty)

    • Mk 12:43—Yesu alithamini jinsi mjane huyo alivyojidhabihu na akawaeleza wanafunzi wake (w97 10/15 16-17 ¶16-17)

    • Mk 12:44—Mchango wa mjane huyo ulikuwa wenye thamani kubwa machoni pa Yehova (w97 10/15 17 ¶17; w87 12/1 30 ¶1; cl 185 ¶15)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mk 11:17—Kwa nini Yesu aliliita hekalu “nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote”? (“nyumba ya sala kwa ajili ya mataifa yote” habari za utafiti Mk 11:17, nwtsty)

    • Mk 11:27, 28—Wapinzani wa Yesu walikuwa wakizungumzia “mambo” gani? (jy 244 ¶7)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mk 12:13-27

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Onyesha jinsi ya kushughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anakuambia kwamba amefiwa na mtu wa ukoo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 118

  • Imani Katika Yehova Hufanya Yatendeke: (Dak. 15) Onyesha video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 21

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 98 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki