Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 4
  • Maono Yenye Kuimarisha Imani

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Maono Yenye Kuimarisha Imani
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
  • Habari Zinazolingana
  • Jinsi Kugeuka Umbo kwa Kristo Kwakuathiri Wewe
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1991
  • Kugeuka Sura​—Wamwona Yesu Katika Utukufu
    Yesu—Njia, Kweli, na Uzima
  • Maswali Kutoka kwa Wasomaji
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1977
  • Sehemu Kuu ya Unabii Ilielekezwa Kwa Kristo
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2005
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 4

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | MARKO 9-10

Maono Yenye Kuimarisha Imani

9:1-7

Petro, Yakobo, na Yohana wakiona maono ya kugeuka sura

Wazia jinsi Yesu alivyohisi aliposikia Baba yake wa mbinguni akitangaza kwamba amemkubali. Bila shaka, hilo lilimwimarisha Yesu kwa ajili ya mateso ambayo angekabili. Maono hayo pia yalikuwa na uvutano mkubwa katika maisha ya Petro, Yakobo, na Yohana. Kwa kweli, Yesu alikuwa Masihi, na walifanya vema kumsikiliza. Miaka 32 hivi baadaye, Petro bado alikumbuka maono hayo na jinsi yalivyofanya “neno la kinabii” liwe hakika zaidi kwake.—2Pe 1:16-19.

Ingawa sisi hatukuona maono hayo, tunashuhudia utimizo sasa. Yesu anatawala akiwa Mfalme mwenye nguvu. Hivi karibuni, ‘atakamilisha ushindi wake,’ na kufungua njia ili kuwe na ulimwengu mpya wenye uadilifu.—Ufu 6:2.

Kuona unabii wa Biblia ukitimia kumeimarishaje imani yako?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki