Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Mei uku. 4
  • Mei 14-20

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 14-20
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Mei uku. 4

Mei 14-20

MARKO 9-10

  • Wimbo 22 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Maono Yenye Kuimarisha Imani”: (Dak. 10)

    • Mk 9:1—Yesu aliahidi kwamba mitume fulani wangeona maono kuhusu Ufalme (w05 1/15 12 ¶9-10)

    • Mk 9:2-6—Petro, Yakobo, na Yohana walimwona Yesu aliyegeuka sura akizungumza na “Eliya” na “Musa” (w05 1/15 12 ¶11)

    • Mk 9:7—Yehova alithibitisha kwa sauti yake mwenyewe kwamba Yesu ni Mwana wake (“sauti” habari za utafiti Mk 9:7, nwtsty)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mk 10:6-9—Yesu alizungumzia kanuni gani kuhusu ndoa? (w08 2/15 30 ¶8)

    • Mk 10:17, 18—Kwa nini Yesu alimsahihisha mtu fulani aliyemwita “Mwalimu Mwema”? (“Mwalimu Mwema,” “Hakuna aliye mwema, isipokuwa mmoja, Mungu” habari za utafiti Mk 10:17, 18, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mk 9:1-13

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w04 5/15 30-31—Kichwa: Maneno ya Yesu Kwenye Marko 10:25 Yanamaanisha Nini?

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 131

  • “Kile Ambacho Mungu Ameunganisha . . . ”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Upendo na Heshima Hufanya Familia Ziwe na Umoja.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 20

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 66 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki