Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Juni uku. 4
  • Juni 11-17

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Juni 11-17
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Juni uku. 4

Juni 11-17

LUKA 1

  • Wimbo 137 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Iga Unyenyekevu wa Maria”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Luka.]

    • Lu 1:38​—Alikubali mgawo wake kwa unyenyekevu (ia 149 ¶12)

    • Lu 1:46-55​—Alimsifu Yehova kwa kunukuu Neno lake (ia 150-151 ¶15-16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Lu 1:69​—Ni nini maana ya “pembe ya wokovu”? (“pembe ya wokovu” habari za utafiti Lu 1:69, nwtsty)

    • Lu 1:76​—Ni katika maana gani Yohana Mbatizaji ‘angeenda mbele za Yehova’? (“utaenda mbele za Yehova” habari za utafiti Lu 1:76, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Lu 1:46-66

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 92

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 8) Au unaweza kutumia habari kuhusu andiko la mwaka la 2018. (w18.01 8-9 ¶4-7)

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 7) Onyesha video ya Juni ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 24

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 58 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki