Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Septemba uku. 3
  • Septemba 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Septemba uku. 3

Septemba 10-16

YOHANA 3-4

  • Wimbo 57 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yesu Amhubiria Mwanamke Msamaria”: (Dak. 10)

    • Yoh 4:6, 7—Ingawa alikuwa amechoka, Yesu alichukua hatua ya kwanza kuzungumza na mwanamke Msamaria (“kwa kuwa alikuwa amechoka” habari za utafiti Yoh 4:6, nwtsty)

    • Yoh 4:21-24—Mazungumzo ya Yesu yasiyo rasmi yalimsaidia kutoa ushahidi mkubwa

    • Yoh 4:39-41—Kwa sababu ya jitihada za Yesu, Wasamaria wengi walimwamini

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yoh 3:29—Tunapaswa kuelewaje mstari huu? (“rafiki ya bwana harusi” habari za utafiti Yoh 3:29, nwtsty)

    • Yoh 4:10—Yesu aliposema “maji yaliyo hai,” huenda mwanamke Msamaria alielewaje maneno hayo, lakini Yesu alikuwa akizungumzia nini? (“maji yaliyo hai” habari za utafiti Yoh 4:10, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Yoh 4:1-15

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) wp16.2 9 ¶1-4—Kichwa: Ufafanuzi wa Yohana 4:23.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 77

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kuanzisha Mazungumzo Yatakayokusaidia Kutoa Ushahidi”: (Dak. 15) Mazungumzo. Malizia kwa kumtia moyo kila mhubiri ajaribu kuanzisha mazungumzo na mtu mmoja juma hili. Katika mkutano unaofuata wa katikati ya juma, wahubiri watapata nafasi ya kusimulia mambo waliyoona.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 35 ¶20-27, sanduku “Kufundisha kwa Kurudia-rudia”

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 35 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki