Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Septemba uku. 6
  • Septemba 24-30

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Septemba 24-30
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Septemba uku. 6

Septemba 24-30

YOHANA 7-8

  • Wimbo 12 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Yesu Alimtukuza Baba Yake”: (Dak. 10)

    • Yoh 7:15-18—Yesu aliposifiwa kwa sababu ya ufundishaji wake alielekeza sifa kwa Yehova (cf 100-101 ¶5-6)

    • Yoh 7:28, 29—Yesu alisema kwamba alitumwa awe mwakilishi wa Mungu, hilo lilionyesha ujitiisho wake kwa Yehova

    • Yoh 8:29—Yesu aliwaambia wasikilizaji wake kwamba sikuzote alifanya mambo yanayompendeza Yehova (w11 3/15 11 ¶19)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yoh 7:8-10—Je, Yesu aliwadanganya ndugu zake wa ukoo ambao hawakuwa waamini? (w07 2/1 6 ¶4)

    • Yoh 8:58—Katika mstari huu kuna msingi gani wa kusema “nimekuwapo” badala ya “nipo,” na kwa nini hilo ni muhimu? (“Nimekuwapo” habari za utafiti Yoh 8:58, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Yoh 8:31-47

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Kisha mwalike mwenye nyumba kwenye mkutano.

  • Ziara ya Kurudia ya Tatu: (Isizidi dak. 3) Chagua andiko lako mwenyewe na utoe chapisho la funzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) lvs 9-10 ¶10-11

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 103

  • “Onyesha Unyenyekevu na Kiasi Kama Kristo”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha kila video.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 36

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 119 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki