Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Desemba uku. 2
  • Desemba 3-9

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 3-9
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Desemba uku. 2

Desemba 3-9

MATENDO 9-11

  • Wimbo 115 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Aliyekuwa Mtesaji Awa Shahidi Mwenye Bidii”: (Dak. 10)

    • Mdo 9:1, 2—Sauli aliwatesa kikatili wanafunzi wa Yesu (bt 60 ¶1-2)a

    • Mdo 9:15, 16—Sauli alichaguliwa kutoa ushahidi kumhusu Yesu (w16.06 7 ¶4)

    • Mdo 9:20-22—Sauli alikuja kuwa Shahidi mwenye bidii (bt 64 ¶15)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 9:4—Kwa nini Yesu alimuuliza Sauli: “Kwa nini unanitesa?” (bt 60-61 ¶5-6)

    • Mdo 10:6—Tunajifunza nini kumhusu mtume Petro kutokana na ukweli wa kwamba alikaa kwenye nyumba ya mtengenezaji wa ngozi? (“Simoni, mtengenezaji wa ngozi” habari za utafiti Mdo 10:6, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 9:10-22

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 6) jl somo 6

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 58

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 8)

  • Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo: (Dak. 7) Onyesha video ya Desemba ya Mambo Yaliyotimizwa na Tengenezo.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 44

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 59 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: bt=“Kutoa Ushahidi Kamili” Kuhusu Ufalme wa Mungu; w=Mnara wa Mlinzi; nwtsty = Toleo la Funzo la Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya; jl=Ni Nani Wanaofanya Mapenzi ya Yehova Leo? jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki