Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Desemba uku. 3
  • Desemba 10-16

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 10-16
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Desemba uku. 3

Desemba 10-16

MATENDO 12-14

  • Wimbo 60 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Barnaba na Paulo Wafanya Wanafunzi Katika Maeneo ya Mbali”: (Dak. 10)

    • Mdo 13:2, 3—Yehova alichagua Barnaba na Sauli wafanye kazi ya pekee (bt 86 ¶4)

    • Mdo 13:12, 48; 14:1—Kazi yao ya jasho ilikuwa na matokeo mazuri (bt 95 ¶5)

    • Mdo 14:21, 22—Barnaba na Paulo waliwaimarisha wanafunzi wapya (w14 9/15 13 ¶4-5)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 12:21-23—Tunajifunza nini kutokana na kilichompata Herode? (w08 5/15 32 ¶7)

    • Mdo 13:9—Kwa nini Sauli “[aliitwa] pia Paulo”? (“Sauli, aitwaye pia Paulo” na “Paulo” habari za utafiti Mdo 13:9, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 12:1-17

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo.

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) bt 78-79 ¶8-9—Kichwa: Sali kwa Ajili ya Waabudu Wenzako.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 65

  • “Kuboresha Ustadi Wetu Katika Huduma—Kuwasaidia Watu Wenye ‘Mwelekeo Unaofaa’ Kuwa Wanafunzi”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Yehova Mungu Atakusaidia.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 45

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 55 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki