Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb18 Desemba uku. 4
  • Desemba 17-23

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Desemba 17-23
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2018
mwb18 Desemba uku. 4

Desemba 17-23

MATENDO 15-16

  • Wimbo 96 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Uamuzi wa Kauli Moja kwa Msingi wa Neno la Mungu”: (Dak. 10)

    • Mdo 15:1, 2—Suala la tohara lilihatarisha umoja wa kutaniko la Kikristo la mapema (bt 102-103 ¶8)

    • Mdo 15:13-20—Uamuzi wa baraza linaloongoza ulitegemea Maandiko (w12 1/15 5 ¶6-7)

    • Mdo 15:28, 29; 16:4, 5—Uamuzi wa baraza linaloongoza uliimarisha makutaniko (bt 123 ¶18)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Mdo 16:6-9—Tunaweza kujifunza nini kutokana na simulizi hili kuhusu kupanua huduma yetu? (w12 1/15 10 ¶8)

    • Mdo 16:37—Mtume Paulo alitumiaje uraia wa Kiroma kuendeleza habari njema? (“sisi ni Waroma” habari za utafiti Mdo 16:37, nwtsty)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Mdo 16:25-40

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Mwenye nyumba anatokeza kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Toa utangulizi wa video Kwa Nini Ujifunze Biblia? kisha uizungumzie (lakini usionyeshe video).

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 74

  • “Msifu Yehova kwa Shangwe Kupitia Nyimbo”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video Watoto Wamsifu Yehova Kupitia Nyimbo. Unapomalizia sehemu hii, waalike wote wasimame na kuimba Wimbo 084 Tumejitoa Kutumikia.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 46

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 102 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki