Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Machi uku. 2
  • Machi 4-10

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Machi 4-10
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Machi uku. 2

Machi 4-10

WAROMA 12-14

  • Wimbo 106 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kuonyesha Upendo wa Kikristo Kunamaanisha Nini?”: (Dak. 10)

    • Ro 12:10—Wapende Wakristo wenzako (it-1 55)a

    • Ro 12:17-19—Unapokosewa, usilipize kisasi (w09 10/15 8 ¶3; w07 7/1 24-25 ¶12-13)

    • Ro 12:20, 21—Ushinde uovu kwa matendo ya fadhili (w12 11/15 29 ¶13)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Ro 12:1—Mstari huu unamaanisha nini? (lvs 76-77 ¶5-6)

    • Ro 13:1—Ni katika maana gani mamlaka zilizo kubwa “zimewekwa na Mungu katika vyeo vyao vya kadiri”? (w08 6/15 31 ¶4)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Ro 13:1-14 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha: (Dak. 10) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Kutumia Maswali, kisha mzungumzie somo la 3 la broshua Kufundisha.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 5) w11 9/1 21-22—Kichwa: Kwa Nini Wakristo Wanapaswa Kulipa Kodi Hata Kama Zinatumiwa Kutegemeza Shughuli Zisizo za Kimaandiko? (th somo la 3)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 77

  • Mahitaji ya Kutaniko: (Dak. 15)

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 57

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 57 na Sala

a Ufupisho wa Machapisho: it = Insight On the Scriptures; w = Mnara wa Mlinzi; th = Boresha Uwezo Wako wa Kusoma na Kufundisha; lvs = Jinsi ya Kudumu Katika Upendo wa Mungu; jy = Yesu—Njia, Kweli, na Uzima

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki