Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Machi uku. 2
  • Kuonyesha Upendo wa Kikristo Kunamaanisha Nini?

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Kuonyesha Upendo wa Kikristo Kunamaanisha Nini?
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
  • Habari Zinazolingana
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu
    Mwimbieni Yehova
  • Upendo Mshikamanifu wa Mungu
    ‘Mwimbieni Yehova kwa Shangwe’
  • “Msimlipe Yeyote Uovu Kwa Uovu”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—2007
  • “Iweni Wafadhili Ninyi Kwa Ninyi”
    Mnara wa Mlinzi Unaotangaza Ufalme wa Yehova—1976
Pata Habari Zaidi
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Machi uku. 2

HAZINA ZA NENO LA MUNGU | WAROMA 12-14

Kuonyesha Upendo wa Kikristo Kunamaanisha Nini?

12:10, 17-21

Mtu anapotukosea, mbali tu na kutolipiza kisasi, upendo wa Kikristo utatuchochea kufanya mengi zaidi. “Ikiwa adui yako ana njaa, mlishe; ikiwa ana kiu, mpe kitu anywe; kwa maana kwa kufanya hivyo utakusanya makaa ya mawe yanayowaka juu ya kichwa chake.” (Ro 12:20) Fadhili tunazomwonyesha mtu anayetutendea kwa njia isiyofaa zinaweza kumfanya mtu huyo ajutie matendo yake.

Dada akitendewa vibaya na mfanyakazi mwenzake, akizungumza na mzee, na siku inayofuata akimtendea kwa fadhili mfanyakazi mwenzake

Ulihisije ulipotendewa kwa fadhili na mtu fulani uliyemuumiza bila kukusudia?

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki