Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Mei uku. 3
  • Mei 13-19

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 13-19
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Mei uku. 3

Mei 13-19

2 WAKORINTHO 7-10

  • Wimbo 109 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Huduma Yetu ya Kutoa Msaada”: (Dak. 10)

    • 2Ko 8:1-3—Wamakedonia walichangia “kupita uwezo wao” ili kuwasaidia ndugu zao wa Yudea (w98 11/1 25 ¶1; kr 209 ¶1)

    • 2Ko 8:4—Kuwasaidia Wakristo wenye uhitaji ni sehemu ya “huduma [yetu] ya kutoa msaada” (kr 209-210 ¶4-6)

    • 2Ko 9:7—“Mungu humpenda mtoaji mchangamfu” (kr 196 ¶10)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 2Ko 9:15—“Zawadi [ya Mungu] ya bure isiyoelezeka” ni nini? (w16.01 12 ¶2)

    • 2Ko 10:17—‘Kujisifu katika Yehova’ kunamaanisha nini? (g99 7/8 20-21)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 2Ko 7:1-12 (th somo la 12)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 2)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 4)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 17

  • “Jinsi Huduma Yetu ya Kutoa Msaada Ilivyowanufaisha Wakristo Katika Visiwa vya Karibea”: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video yenye kichwa Upendo Waonyeshwa Kupitia Kazi ya Kutoa Msaada Visiwani.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 66

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 94 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki