Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Mei uku. 6
  • Mei 27–Juni 2

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Mei 27–Juni 2
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Mei uku. 6

Mei 27–Juni 2

WAGALATIA 1-3

  • Wimbo 106 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Nilimpinga Uso kwa Uso”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa Wagalatia.]

    • Gal 2:11-13—Wakristo Wayahudi walipomtembelea Petro, woga wa wanadamu ulimfanya ajitenge na Watu wa Mataifa waliokuwa ndugu zake (w17.04 27 ¶16)

    • Gal 2:14—Paulo alimshauri Petro (w13 3/15 5 ¶12)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Gal 2:20—Unapaswa kuwa na maoni gani kuhusu fidia, na kwa nini? (w14 9/15 16 ¶20-21)

    • Gal 3:1—Kwa nini Paulo aliwaita Wagalatia “wasio na akili”? (it-1 880)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) Gal 2:11-21 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha mzungumze kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) bhs 202-203 ¶18-19 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 92

  • “Jinsi Wote Wanavyoweza Kushiriki Kutunza Maeneo Yetu ya Ibada”: (Dak. 15) Mazungumzo yakiongozwa na mzee. Baada ya kuonyesha video yenye kichwa Kutunza Maeneo Yetu ya Ibada na kujibu maswali yaliyoonyeshwa, mhoji kifupi mwakilishi wa kutaniko wa halmashauri ya uendeshaji kwa kumuuliza maswali yafuatayo. (Ikiwa kutaniko lenu halina mwakilishi, mhoji mratibu wa baraza la wazee. Ikiwa Jumba lenu la Ufalme linatumiwa na kutaniko moja tu, mhoji mratibu wa udumishaji.) Je, kutaniko letu linafaulu kufanya kila kitu kilichoonyeshwa kwenye ratiba ya udumishaji? Je, tunafanya kazi kwa usalama? Tumetimiza kazi gani ya udumishaji hivi karibuni, na ni kazi gani iliyopangwa kufanywa wakati ujao? Ikiwa mtu ana ustadi wa kazi za udumishaji au angependa kujifunza kwa kuwasaidia wale walio na ustadi huo, anapaswa kufanya nini? Ni kwa njia gani sisi sote tunaweza kushiriki kulitunza Jumba la Ufalme, bila kujali tuna hali zipi?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 68

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 72 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki