Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 3
  • Julai 8-14

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 8-14
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 3

Julai 8-14

1 WATHESALONIKE 1-5

  • Wimbo 90 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Endeleeni Kutiana Moyo na Kujengana”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video ya Utangulizi wa 1 Wathesalonike.]

    • 1Th 5:11-13—“Mwafikirie kwa njia inayozidi ile ya kawaida” wale wanaoongoza miongoni mwenu (w11 6/15 26 ¶12; 28 ¶19)

    • 1Th 5:14—Wafarijini wale walioshuka moyo na kuwasaidia walio dhaifu (w17.10 10 ¶13; w15 2/15 9 ¶16)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Th 4:3-6—Yule anayejihusisha na maadili mapotovu, ‘anamdhulumu ndugu yake’ jinsi gani? (it-1 863-864 ¶9)

    • 1Th 4:15-17—Ni nani ‘watakaonyakuliwa katika mawingu ili wakutane na Bwana hewani,’ na hilo linatukiaje? (w15 7/15 18-19 ¶14-15)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Th 3:1-13 (th somo la 5)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kwanza: (Dak. 4) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 1)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 3)

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. Shughulikia kizuia-mazungumzo cha kawaida katika eneo lenu. (th somo la 4)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 81

  • Mapainia Wanaotia Moyo: (Dak. 9) Onyesha video Uwezo wa Mapainia wa Kusaidia. Kisha mjibu maswali yafuatayo: Mapainia wanaweza kufanya nini ili kuwatia moyo wengine kutanikoni? Umetiwaje moyo na mapainia katika kutaniko lenu?

  • Mifano Mizuri Inayotutia Moyo: (Dak. 6) Onyesha video Lazima “Tukimbie kwa Uvumilivu”—Iga Mifano Mizuri. Kisha mjibu maswali yafuatayo: Dada huyo alikabili changamoto gani? Alifanya nini ili atiwe moyo?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 74

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 100 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki