Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 4
  • Julai 15-21

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 15-21
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 4

Julai 15-21

2 WATHESALONIKE 1-3

  • Wimbo 67 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Kufunuliwa kwa Yule Mwasi Sheria”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 2 Wathesalonike.]

    • 2Th 2:6-8—“Yule mwasi sheria,” ambaye tayari anafanya kazi, angefunuliwa (it-1 972-973)

    • 2Th 2:9-12—Wale wanaodanganywa na “yule mwasi sheria” watahukumiwa (it-2 245 ¶7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 2Th 1:7, 8—Ni katika maana gani ufunuo wa Yesu na malaika utakuwa “katika mwali wa moto”? (it-1 834 ¶5)

    • 2Th 2:2—Paulo alimaanisha nini alipozungumza kuhusu “maneno yaliyoongozwa na roho”? (it-1 1206 ¶4-6)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 2Th 1:1-12 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 6)

  • Ziara ya Kurudia ya Kwanza: (Isizidi dak.4) Anza kwa kutumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo, na kisha utoe utangulizi wa kitabu Biblia Inatufundisha. (th somo la 12)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 61

  • Je, Umepoteza Hamu ya Kuhubiri?: (Dak. 15) Onyesha video Chochea Huduma Yako—Jinsi Gani?

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 75

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 111 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki