Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • mwb19 Julai uku. 5
  • Julai 22-28

Hakuna video yoyote kwa sasa.

Samahani, haikuwezekana kupakia video.

  • Julai 22-28
  • Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
Daftari la Mkutano wa Huduma na Maisha Yetu ya Kikristo—2019
mwb19 Julai uku. 5

Julai 22-28

1 TIMOTHEO 1-3

  • Wimbo 103 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • “Jitahidi Kufikia Kazi Njema”: (Dak. 10)

    • [Onyesha video yenye kichwa Utangulizi wa 1 Timotheo.]

    • 1Ti 3:1—Akina ndugu wanatiwa moyo wajitahidi kufikia kuwa mwangalizi (w16.08 21 ¶3)

    • 1Ti 3:13—Akina ndugu wanaotumikia vizuri wanapata baraka nyingi (km 9/78 4 ¶7)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • 1Ti 1:4—Kwa nini Paulo alimwonya Timotheo kuhusu kuchunguza-chunguza ukoo? (it-1 914-915)

    • 1Ti 1:17—Kwa nini Yehova pekee ndiye anaweza kuitwa “Mfalme wa umilele”? (cl 12 ¶15)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili umekufundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni hazina gani nyingine za kiroho ambazo ulipata katika usomaji wa Biblia wa juma hili?

  • Usomaji wa Biblia: (Usizidi dak. 4) 1Ti 2:1-15 (th somo la 10)

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Video ya Ziara ya Kurudia ya Pili: (Dak. 5) Onyesha video, kisha zungumzeni kuihusu.

  • Ziara ya Kurudia ya Pili: (Isizidi dak. 3) Tumia pendekezo la kuanzisha mazungumzo. (th somo la 2)

  • Funzo la Biblia: (Lisizidi dak. 5) lvs 47-48 ¶6-7 (th somo la 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 137

  • Wafanyakazi Vijana Huko Warwick Wamheshimu Yehova: (Dak. 6) Mazungumzo. Onyesha video. Kisha zungumzieni maswali yafuatayo:

    Ndugu na dada vijana walisaidiaje ujenzi wa Betheli ya Warwick, na walinufaikaje?

    Ndugu na dada vijana kutanikoni wana fursa zipi za kumheshimu Yehova?

  • “Unaweza Kujifunza Nini Kutoka Kwao?”: (Dak. 9) Mazungumzo. Onyesha video Waheshimu Ndugu Wenye Uzoefu.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: (Dak. 30) jy sura ya 76

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 115 na Sala

    Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
    Toka
    Ingia
    • Kiswahili
    • Shiriki
    • Mapendezi
    • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
    • Masharti ya Utumiaji
    • Sera ya Faragha
    • Mpangilio wa Faragha
    • JW.ORG
    • Ingia
    Shiriki